Suitland Tailoring College

Suitland Tailoring College

@suitland · 17K subscribers · 489 videos · Swahili

We offer free education and technical training on sewing and creating various fashion designs with skill and modern trends. We believe that successful e-lear…

Episodes

10:56

JINSI YA KUKATA BUSTIER BLOUSE ✂️✨part 1

934 views · 2mo ago · 10:56

Katika video hii nitakuonyesha jinsi ya kukata Bustier Blouse kwa usahihi, hatua kwa hatua. Utajifunza Jinsi ya kutumia vipimo sahihi Jinsi ya kuchora pattern ya Bustier Blouse Namna ya kupata shape nzuri ya bustier Jinsi ya kufanya ukataji kwa usahihi Vidokezo vya kupata fitting nzuri wakati wa kushona

13:35

JIFUNZE KUKATA BLOUSE KWA USAHIHI (PRINCESS DARTS + FORMULA) ✂️

709 views · 2mo ago · 13:35

Karibu kwenye channel ya SUITLAND TAILORING COLLEGE Kwenye video hii utajifunza jinsi ya kutumia formula kwenye ukataji wa blouse yenye princess darts kwa njia rahisi na ya kitaalamu. Utajifunza Jinsi ya kutumia vipimo sahihi (bust, waist, hip) Formula muhimu za ukataji wa blouse Namna ya kuchora princess darts kwa usahihi Mbinu za kupata fit kamili na professional

17:21

JINSI HESABU HUTUMIKA KWENYE KUSHONA SULUALI YA KIKE | Mwongozo wa Bespoke Tailoring

1.3K views · 2mo ago · 17:21

JINSI HESABU HUTUMIKA KWENYE KUSHONA SULUALI YA KIKE | Mwongozo wa Bespoke Tailoring Katika video hii utajifunza jinsi hesabu zinavyotumika hatua kwa hatua kwenye ukataji na ushonaji wa suluali ya kike. Tutazungumzia namna ya kuchukua vipimo sahihi, jinsi ya kugawanya vipimo kwa usahihi, kuongeza nafasi za mshono (seam allowance), na kutengeneza pattern inayotoa suluali inayokaa vizuri kwenye mwili.

7:45

Makosa ya Kushona Suit kwa Wenye Vitambi (Epuka Haya!)

538 views · 4mo ago · 7:45

Je, una kitambi na unataka kuvaa suit inayokaa vizuri na kukuonyesha smart? Katika video hii, nitakuonyesha tofauti kati ya suit iliyoshonwa vizuri na ile iliyokaa vibaya kwa mtu mwenye kitambi. Utajifunza: Jinsi ya kupima mwili sahihi Makosa ya kawaida ya mafundi wengi Mbinu za kushona suit inayoficha kitambi Siri za kufanya mteja aonekane nadhifu na confident Kama wewe ni fundi au unataka kushona suit yako, hii video ni muhimu sana kwako!

Showing the 7 most recent episodes. Everything plays right here on Pod Atlas.

Have thoughts about Suitland Tailoring College? Share them with other listeners.

Discuss this podcast

More Self-Improvement podcasts

← Back to all podcasts